Archives for Parishies K

Kongowe, Bikira Maria Malkia wa Malaika (2011)

BIKIRA MARIA MALKIA WA MALAIKA (Msimamizi) –KONGOWE

Ilikuwa Kigango cha parokia ya Mbagala .Parokia ilizinduli wa tarehe 3 Aprili 2011 na Mwa. Baba Askofu Liberatus Libena, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la DSM. Paroko wa kwanza, pd. Oscar Girardi,ofm.

Rev. Fr. Oscar Girardi, Parish Priest – 0754 928489

Rev. Fr. Conrad Mutayoba, Assistant Parish Priest – 0758 208115

Rev. Fr. Jacek Gorka – 0718 921555 (Profesor JUKO – Morogoro)

 

Mapadri wa Shirika la ndugu wadogo

Wafransiskani (OFM)

Masista wa Moyo safi wa B.M wa Afrika

Read more