History of Diocesan Priests

HISTORIA YA PADRI WA KWANZA WA

JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM

 

Mh. Padri Gregory Mpanda

Alizaliwa Kilwa Kipatimu (sasa ni jimbo la Lindi) mwaka 1910.

Kumbukumbu halisi za historia ya maisha yake zipo chache sana na si kamili.  Bahati mbaya hatuna mapadri wa rika lake ama karibu na rika lake ambao tungweza kurejea kwao.

 • MASOMO: KIPALAPALA 1942 – 1947
 • UPADRISHO: 08.1948     –  Dar es Salaam.
 • UTUME: Alianza Utume wake kama Paroko – Kilwa

Kipatimu na baadae aliamie Nandete mpaka umauti wake.

 • KIFO: Julai, 1989 Nandete, na akazikwa Kipatimu (R.I.P.).

 

Mapadre Marehemu :

 1. + Rev. Fr. Nicas Kipengere (kazikwa Kwiro – Mahenge)
 2. + Rev. Fr. Hermenegild Muba (kazikwa Ifakara)
 3. + Rev. Fr. Gregory Mpanda (kazikwa Kilwa Kipatimu)
 4. + Rev. Fr. Melchior Gutambi (kazikwa Msimbazi)
 5. + Rev. Fr. Mathias Mambo (kazikwa Msimbazi)
 6. + Rev. Fr. Valerian Fataki (kazikwa Pugu)
 7. + Rev. Fr. Juvenalius Muba (kazikwa Pugu)
 8. + Rev. Fr. Callistus Nyambo (kazikwa Moshi)
 9. + Rev. Fr. Andreas Komba (kazikwa Songea)