Matukio mbalimbali katika ni Misa takatufu ya kumshukuru Mungu kwa kutimiza miaka 75 ya kuzaliwa Mwadhama Cardinal Pengo, askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam.

Misa hii ilifanyika katika viwanja vya Msimbazi,karibu uungane na Mwadhama kumshukuru Mungu aliempa uzima hadi Leo.