Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongozana na wawakilishi wengine wa Kanisa Katoliki kutoa pole kwa familia ya Mkapa nyumbani kwake Dar es Salaam.