Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha Padri Andrew Mwekibindu, aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Mikocheni. Padri Mwekibindu amefariki usiku wa kuamkia tarehe Jumapili ya 13/01/2019 katika hospitali ya Taifa Muhimbili. Tratibu za mazishi zinapangwa. Tumuombee Pumziko la Milele Mbinguni. Amina

Pd. Frank Mtavangu

Katibu – Jimbo